Sunday, 21 December 2014

Yamoto Band yatimiza mwaka mmoja,hiki ndicho walichoamua kufanya.

 Yamoto Band yatimiza mwaka mmoja,hiki ndicho walichoamua kufanya.
Mkubwa na Wanawe ambao ndani yake ndiko inapopatikana Yamoto Band imetimiza mwaka mmoja toka ianzishwe wikiendi iliyopita ambapo wiki chache zilizopita Said Fella ambaye ndiye mkurugenzi ali amplify kupitia Exclusive interview na millardayo.com jumla ya show walizofanya.
Licha ya kuwa ni bendi changa ambayo ina mashabiki wengi Yamoto Band inaweza kuwa ni bendi ya kwanza ndani ya mwaka mmoja kutoa single zaidi ya 5 na zote zika hit na kuimbwa na watu wa kila rika.
Wikiendi iliyopita kundi hilo kupitia Mkurugenzi wao Mkubwa Fella waliamua kwenda kutoa misaada kwenye kituo cha watoto Yatima Temeke kama kurudisha shukrani kwa mashabiki wao wanaowafatilia.























No comments:

Post a Comment