This blog directly focus on all matters pertaining with entertainment, academics stuffs, news and related issues, feel at home at any time......
Tuesday, 30 December 2014
Saturday, 27 December 2014
BREAKING NEWS:Ndege ya AirAsia yatoweka na abiria 160
Ndege hiyo ilikuwa inasafiri kutoka mji wa Indonesia wa Surabaya kwenda Singapore .
Imeelezwa kuwa mawasiliano ya mwisho na ndege hiyo iliyokuwa na mruko namba QZ8501 23:24 GMT.
Ndege hiyo ilitarajiwa kuwasili Singapore saa 00:30 GMT.
Taarifa kutoka wizara ya uchukuzi inasema kwamba ndege hiyo ilipoteza mawasiliano wakati ikiwa bahari ya Javavya kati ya visiwa vya Kalimantan na Java .
Ofisa mmoja kutoka wizara hiyo Hadi Mustofa alisema ndege hiyo kabla ya kupoteza mawasiliano iliomba kibali kupita njia ambayo si ya kawaida na anga lilikuwa na mawingu sana.
Thursday, 25 December 2014
Wednesday, 24 December 2014
Monday, 22 December 2014
UTAFITI: AINA ZA POMBE NA UFANISI WAKE KWA WATUMIAJI!
NEWS ALERT: MIILI YA WATU 14 WALIOFARIKI KATIKA AJALI YA MELI YA CONGO YAIBUKA KIGOMA, ZAZIKWA NA SERIKALI YA TANZNIA...
Na Editha Karlo Globu ya Jamii,Kigoma
JUMLA ya maiti 14 zimezikwa baada ya makubaliano baina ya serekali ya Tanzania na serekali ya Demokrasia ya Congo(DRC)ambapo katika mazishi hayo serekali ya Congo iliwakilishwa na Balozi wa Congo kutoka ubalozi mdogo wa DRC Mkoani Kigoma.
Maamuzi ya Rais Kikwete kuhusu maazimio ya Bunge, kuwawajibisha Mawaziri na akaunti ya Tegeta Escrow
![]() |
Maamuzi ya Rais Kikwete kuhusu maazimio ya Bunge, kuwawajibisha Mawaziri na akaunti ya Tegeta Escrow |
Rais Kikwete leo December 22 amehutubia Taifa kwa kufanya mazungumzo na wazee wa Dar es Salaam ambapo amezungumzia mambo makuu mawili; kwanza kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa na pia maazimio ya Bunge kuhusu uchotwaji wa pesa kwenye akaunti ya Tegeta Escrow.
Sunday, 21 December 2014
Yamoto Band yatimiza mwaka mmoja,hiki ndicho walichoamua kufanya.
![]() |
Yamoto Band yatimiza mwaka mmoja,hiki ndicho walichoamua kufanya. |
Mkubwa na Wanawe ambao ndani yake ndiko inapopatikana Yamoto Band imetimiza mwaka mmoja toka ianzishwe wikiendi iliyopita ambapo wiki chache zilizopita Said Fella ambaye ndiye mkurugenzi ali amplify kupitia Exclusive interview na millardayo.com jumla ya show walizofanya.
Thursday, 18 December 2014
Wednesday, 17 December 2014
Tuesday, 16 December 2014
Sunday, 14 December 2014
Tuesday, 9 December 2014
Friday, 5 December 2014
Subscribe to:
Posts (Atom)